Pages

Friday, November 19, 2010

Mbunifu,......


Mbunifu Fransis Karinyuza (50) mkazi wa kijiji cha Minyala kata ya Vumari wilayani Same,mkoani Kilimanjaro,hakuna anayeona ubunifu wake,akiendelezwa anaweza kufanya mambo makubwa kwa faida ya nchi yetu.....

No comments:

Post a Comment