Siku ya pili katika mafunzo ya matumizi ya Internet jijini Arusha,nimejifunza mengi ikiwemo kufungua website mbalimbali na kutumia blog yangu,pia nimejifunza namna ya kutembelea webdsite na kusoma magazeti,kusikiliza radio,kuangali video mbalimbali na picha mbalimbali na jinsi ya kuzitumia picha hizo katika matumizi mbalimbali.
No comments:
Post a Comment